TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Moses Wetangula

The Typologically Different Question Answering Dataset

Moses Masika Wetangula  (amezaliwa 13 Septemba 1956) ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge anayewakilisha jimbo Sirisia. Yeye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje tangu Januari 2008.